Chadema ya lisu haimfikii ya mbowe hata nusu.chama kimepoteza ushawishiUshawishi gani? Kama tu alishindwa mchana kweupe kwenye chama chake ana ushawishi gani labda CCM nje na hapo hana ushawishi wowote
Wewe hauoni?Aisee mnaongea aya maneno mkiwa na akili timamu
Kama kawachelewesha sahivi mko wapi? Kuna improvement gani tangu aondoke hadi tuseme kweli aliwachelewesha? Zaidi ya wanachama wa chadema kuzidi kuwa nyumbu kwa uoga mwenyekiti anateseka mahabusu hata kuandamana mnaogopa?Mpuuzi yule.katuchelewesha sana ana roho mbaya sana
Chadema waliita wanachama wajitokeze waende kuskiliza kesi ya Lissu mahakamani jamaa mmoja wa Kimara King'ong'o kaenda kawahi kuingia ndani baadae anatolewa na watu wa chadema mahakamani anaitwa eti ni polisi kavaa kiraia watu kama hao ndo wanavunjwa moyo hata kujitokeza kwasababu hizohizo akijitokeza mtu mmoja mwenye mihemko akazusha neno la kufikirika wanachama wote wanaripuka nalo bila hata kuhoji na kuanza kujidhuru wao kwa wao ndo maana wanaitwa nyumbuKwamba sasa hivi adui ashakua Mbowe ?; Muendelezo wa Divide and Rule..., Mpaka siku tutakapojikita kwenye maadui wa Kweli Ujinga, Umasikini na Maradhi tutaendelea na Same Script different Cast... At the same time Status quo wanaendelea na burudani zao...
Son of a bitchChadema waliita wanachama wajitokeze waende kuskiliza kesi ya Lissu mahakamani jamaa mmoja wa Kimara King'ong'o kaenda kawahi kuingia ndani baadae anatolewa na watu wa chadema mahakamani anaitwa eti ni polisi kavaa kiraia watu kama hao ndo wanavunjwa moyo hata kujitokeza kwasababu hizohizo akijitokeza mtu mmoja mwenye mihemko akazusha neno la kufikirika wanachama wote wanaripuka nalo bila hata kuhoji na kuanza kujidhuru wao kwa wao.