Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,058 Mar 2, 2012 #1 habari zenu wadau. Leo nimemkumbuka Frank Mtao mtangazaji aliyejipatia umaarufu kweny kipindi cha Nani ni Nani, ktk channel Ten. Ni muda mrefu umepita bila kumsikia..mwenye taarifa atujuze. Ahsanteni
habari zenu wadau. Leo nimemkumbuka Frank Mtao mtangazaji aliyejipatia umaarufu kweny kipindi cha Nani ni Nani, ktk channel Ten. Ni muda mrefu umepita bila kumsikia..mwenye taarifa atujuze. Ahsanteni
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 2, 2012 #2 Dah sina taarifa zake labda wadau wengine
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,611 Reaction score 134,297 Mar 2, 2012 #3 Alihamia Japan baadae Australia ndiko anakoishi sasa. Ameoa, ana mke na mtoto. Mwaka jana alirudi Tz kusalimia. Yeye na Anwaar Said ndio walikuwa wamiliki wa 2eyes Production ya mwanzo ya video za Bongo Fleva!.
Alihamia Japan baadae Australia ndiko anakoishi sasa. Ameoa, ana mke na mtoto. Mwaka jana alirudi Tz kusalimia. Yeye na Anwaar Said ndio walikuwa wamiliki wa 2eyes Production ya mwanzo ya video za Bongo Fleva!.
ney kush JF-Expert Member Joined Feb 16, 2012 Posts 1,423 Reaction score 958 Mar 2, 2012 #4 Mjadala ushaisha......
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,097 Reaction score 10,612 Mar 3, 2012 #5 ney kush said: Mjadala ushaisha...... Click to expand... I guess!
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,058 Mar 6, 2012 Thread starter #6 Pasco said: Alihamia Japan baadae Australia ndiko anakoishi sasa. Ameoa, ana mke na mtoto. Mwaka jana alirudi Tz kusalimia. Yeye na Anwaar Said ndio walikuwa wamiliki wa 2eyes Production ya mwanzo ya video za Bongo Fleva!. Click to expand... thanx mkuu
Pasco said: Alihamia Japan baadae Australia ndiko anakoishi sasa. Ameoa, ana mke na mtoto. Mwaka jana alirudi Tz kusalimia. Yeye na Anwaar Said ndio walikuwa wamiliki wa 2eyes Production ya mwanzo ya video za Bongo Fleva!. Click to expand... thanx mkuu
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,530 Reaction score 10,770 Oct 14, 2017 #7 nimemkumbuka ghafla