Yuko wapi flani? Tutafutane Mkuu

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,410
39,484
Habarini Wadau,

◆ Yawezekana katika maisha yako tangu kuzaliwa, kuanza chekechea, primary, secondary, chuo au katika pilika za maisha ulipotezana na jamaa ama rafiki yako wa karibu.

◆ Tutumie fursa hii kutaja jina lake na kuuliza alipo.

◆ Huenda ni member wa hapa jamvini ila hujui au kuna aliye naye karibu.

→ Mimi nawaulizia watu wawili ambao ni:-

1) Dorothea Palangyo - alisoma Aldersgate babati 2005-2006

2) Daniel Warae Petro, aliishi Arusha 1998-2000

Popote walipo tuwasiliane pls.
 
Membaz wa AZA-JANGWA na TAMBA-ZANA way back enzi za late John Puzza popote mliko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom