Licha ya kutohitajika,yuko wapi?Waliokuwa wanamtumia hawamhitaji tena! Si unakumbuka ametumika sana kuhamisha magoli! Kwanza, wakati wa uuzwaji wa nyumba za Lugumi; na pili, wakati ilipodaiwa chenji yake kiasi $ 60 milioni na matofali ya dhahabu kadhaa. Kumbe usanii mtupu, sasa hahitajiki tena! Au labda akihitajika tena atarudi kwa lime light!
Chikichi chikichi chikichi chikichi swelea ndaniAtulie kwanza now zamu ya mwanri mzee wa sukuuma ndani....fyekelea[emoji28]
Kwani si alisema anaishi tabata kimanga, mawenzi? Bila shaka ukifika hapo muulizie kama alishahama hapo utapata majibu ya wapi alipohamia...Licha ya kutohitajika,yuko wapi?
π π π π π π πChikichi chikichi chikichi chikichi swelea ndani
yupo tabata kisukuruAnaishi wapi au Karudi Urusi?