Kuna mwana JF mmoja aliwahi kupost hapa kuwa kikwete anasubiri Dr. Migiro amalize muda wake UN ndio afanye mabadiliko ya baraza la mawaziri! baadhi ya wachangiaji wakaenda mbali wakasema jk anamuandaa huyu mama mwanadiplomasia kumrithi atakapoacha madaraka 2015 (kama atafika hapo) Pressure ilipozidi hivi majuzi kuhusu cabinet bado jina la Dr.Migiro lilitajwa sana! baada ya jk " kusuka" baraza lake kimya hatusikii tena kumhusu huyu mama! nini kimetokea?jk kamtupa? alikataa? au anataka aje kuomba kugombea urais urais 2015 as suprise??vipi anaweza kwenda upinzani? is she a presidential material? Tumjadili!!
hakuwa na lolote b4 na kwa mshangao JK akampendekeza kwa BAN MOON kuwa naibu akidhania ataleta ngonjera za TUTA../MKAKATI UNASUKWA.../MPANGO UKO MBIONI...
tunamkaribisha home, na kwa siasa za bongo atapilitiliza bunge kwa kunde la wakuteuliwa , wataendelea kumung'unya hii nchi mpaka iishe yote maskini mweeeee