Mapya Yaja
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 560
- 403
Ni takribani zaidi ya miezi Saba sasa mbunge huyu hajaonekana bungeni wala kwenye jimbo lake la Same Magharibi.
Watu wanajiuliza ni nini kilichomsibu hata asiweze kutekeleza majukumu yake ya kibunge. Nadhani ni busara ofisi ya bunge ikatoa taarifa kwa wananchi wa Same magharibi juu ya alipo mbunge huyu.
Na vipi pia sheria inasemaje kwa mbunge anayeshindwa kutekeleza majukumu yake kwa muda zaidi ya miezi 6?
Tafadhali atakayemwona popote huko amwambie wananchi wake wanamtafuta either dead or live