Hatalikishwi mtu hapa.. Labda mie ndo nimtalikishe!!
Akkkuuuuu.... We ngoja tu?!!!
komea hapo hapo wewe. mke wa mtu huyoooNamtafuta huyu mdada jamani yeyote mwenye taarifa zake anijuze nmemkmbka sanaa wajameni ... Near Nakivubo Stadium
Afu nikija huko Rock City hamtasalimika, hata panya na mende wa nyumbani kwenu pia hawatosalimika!
Mikakati ya vikao imekaaje? Katiba ya JF Rock City???
komea hapo hapo wewe. mke wa mtu huyooo
komea hapo hapo wewe. mke wa mtu huyooo
Mwambie mwambie..... Luv u my hezbend, so mwaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!!
Mkuu... Njoo chemba!!!
Luv you tooo waifu..mwaaaaah!!!!!
Ukitaka khabari zake fungua dirisha la invisibo. elfu