Yuko wapi Bonta?

Yuko wapi Bonta?

Ghulaam

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
1,868
Reaction score
1,487
Ni kipindi kirefu kumedhihiri kimya kisichovumilika hasa kwa wapenzi wa Muziki wa Hip-hop namzungumzia mwanamuziki Bonta

Yuko wapi msanii Bonta kwa anayefahamu habari zake??
 
kuna kipindi alikuwa bugando siunajua yule ni doctor
 
Sema nako2nako wako wap hawa jamaaa dhaaaa aiseeeee chuga yaaasng
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom