Yuko wapi Bernard Membe?

1-Amebadilisha jinsi wanasiasa wanavyopaswa kufanya siasa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla,Ameondokana na siasa za majukwaani zenye lugha ya ulaghai, propaganda na kutafuta umaarufu,na kuwa Mtendaji zaidi ya mwanasiasa.
Lugha ya ulaghai lkn kwake yeye ulaghai na matusi ruxa
 
Unajua nini wewe kuhusu ukachero?
Kuna mambo yanapangwa ustadi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…