Yuko wapi Beatice shelukindo?

Yuko wapi Beatice shelukindo?

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Wakuu huyu dada sijamuona siku nyingi bungeni na hata uraiani
Namkumbuka sana wakati alivyomuumbua ngeleja alivyojaribu kuchangisha taasisi za serekali zilizochini ya wizara ya nishati na madini pesa ili apitishe bajeti yake..

Nilimuona anafaa kuwa mpambanaji ghafla akazimika
Kuna anayejua alipo??
 
Yuko kambi ya lowassa siku hizi,lkn zamani yeye na mumewe walikua wapinzani wakubwa wa rostam na lowassa bungeni,na alikua mwiba yeye na Anne kilango kipindi kile cha report ya richmond,pesa bwana...mama kabadilika kama sio yeye aliekua akimkemea lowassa hadharani.
 
Wakuu huyu dada sijamuona siku nyingi bungeni na hata uraiani
Namkumbuka sana wakati alivyomuumbua ngeleja alivyojaribu kuchangisha taasisi za serekali zilizochini ya wizara ya nishati na madini pesa ili apitishe bajeti yake..

Nilimuona anafaa kuwa mpambanaji ghafla akazimika
Kuna anayejua alipo??

yuko #teamlowassa , ukisoma mwananchi la leo 31/5/15 ukurasa wa 3 ni mmoja wa wabunge waliokodiwa ndege to dom kwenda arusha kwenye safari ya matumaini!!!

na pia alioteshwa na T.B joshua rais baada ya JK ni lowassa.
 
Nimemwona gazeti la mwananchi kama amezeeka ghafla anaonekana kama bibi au anasumbuliwa na kitu???
 
Ogopa njaa za wana CCM huwazinahama toka tumboni kwenda KICHWANI,Jumamosi niliona na Mh LUGOLA naye njaa imeanza kuhama toka tumboni.Aibu kwa nchi hii UKAWA ndiyo sahihi wa kutuokoa.Atakaye haribu UKAWA wetu heri asingezaliwa bora afungiwe jiwe shinggoni la kilo 2000kg atupwe baharini.
 
Ni mgonjwa. Alilazwa nje ya nchi kwa muda kidogo, hata bunge la katiba sidhani kama alilimaliza!
 
wanaumwaga sana ngoma hao. ukiona bungeni hayupo , Mtaani hayupo ujue yupo nje hospitali kalazwa .mimi mbunge wangu tangu desemba hajaonekana jimboni kumbe yuko south afrika anaugulia huko ngoma. ukiwa mkubwa nchi hii hata magonjwa utaumwa makubwa makubwa , ukiwa mdogo na magonjwa yako yatakuwa madogo madogo kweli wa Mungu wa ajabu
 
Nimemwona gazeti la mwananchi kama amezeeka ghafla anaonekana kama bibi au anasumbuliwa na kitu???

Mara ya mwisho nilisoma habari zake kuwa yuko India ki matibabu. Na ni kweli ni siku nyingi hata sijui kama alisharudi huko.
 
Back
Top Bottom