Mipasho unaijua wee msengerema! Peleka upuuzi wako kule maanina zako!kumbe we mwanaume im sorry unajua wanaume huwa hatunaga mipasho so niliquote nikijua wewe ni dada baada ya kuona umepost mipasho
Mkuu, Mh. Zitto nipo nae hapa Urusi barabara ya Lumumba, Mwanga Kigoma Mjini, tunapata kahawa na kashata, anawashangaa CHADEMA hawazungumzii ufisadi, hapa Wazalendo wa Kigoma tunamsikiliza kwa makini!
Mkuu, Mh. Zitto nipo nae hapa Urusi barabara ya Lumumba, Mwanga Kigoma Mjini, tunapata kahawa na kashata, anawashangaa CHADEMA hawazungumzii ufisadi, hapa Wazalendo wa Kigoma tunamsikiliza kwa makini!
Kama anabandika mpaka Moro itakuwa mshikaji amepagawa au kuna wapiga kura wake huko anawakumbusha tarehe ikifika warudi Kigoma?Mpe hi, alafu muulize kwanini anabandika picha zake hata mikoa isiyohusika? Mfano morogoro.
Kama anabandika mpaka Moro itakuwa mshikaji amepagawa au kuna wapiga kura wake huko anawakumbusha tarehe ikifika warudi Kigoma?
Kweli Zitto ana roho ngumu sn, Estomih Mallah (rip) ambae pia alikuwa kiongozi Leo anaagwa Arusha, Zitto wala hana habari yupo na mishe zake tu
DuuuuhInawezekana mkuu, amebandika hadi kamfunika mgombea wa Moro mjini.
Huyu Zitto binafsi naona MUUWENI TU kama CHACHA WANGWE ili MPUMUE maana CHUKI MLIYONAYO JUU YAKE HAINA MFANO WAKE.Binadamu wabaya sana ni bora ukakutana hata na simba anaweza kuwa kashiba.