Kilio Cha Miti
Member
- Oct 11, 2015
- 14
- 1
Zitto ni moja ya vijana ninao admire siasa zake sana, ingawa ana mapungufu yake kwenye suala la kufikiri kabla ya kuamua, but ni moja ya vijana wachache wenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.
Mheshmiwa huyu now days kwenye mikutano ya ACT simuoni, kwenye midahalo simuoni, kwenye vyombo vya habari haandikwi, kwa kifupi hasikiki completely tofauti na ninavyotarajia kwa yeye kama kiongozi mkuu wa ACT.
Wale wanaojua alipo watuambie naamini jimboni kwake ni mteremko.
Act siyo zito tena, Act ni mama Anna Mgwirwa yan zito kapotezwa kabsa na mama Ana
Kanabwa mbavu kwenye jimbo analogombea....chezea ukawa
unaijua kigoma we dada
Zitto ni moja ya vijana ninao admire siasa zake sana, ingawa ana mapungufu yake kwenye suala la kufikiri kabla ya kuamua, but ni moja ya vijana wachache wenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.
Mheshmiwa huyu now days kwenye mikutano ya ACT simuoni, kwenye midahalo simuoni, kwenye vyombo vya habari haandikwi, kwa kifupi hasikiki completely tofauti na ninavyotarajia kwa yeye kama kiongozi mkuu wa ACT.
Wale wanaojua alipo watuambie naamini jimboni kwake ni mteremko.
Hatuna mda na mashetani
Kabwe ari tete jimbon kwake.sizan kama mjengoni ataingia.....
Pesa za kampeni za ACT kapewa na ccm, sasa ajitokeze kuwasema mabosi wake? Tanzania ni strong hold ya ukawa akisema ukawa vibaya wanazaa naye!
Zitto ni moja ya vijana ninao admire siasa zake sana, ingawa ana mapungufu yake kwenye suala la kufikiri kabla ya kuamua, but ni moja ya vijana wachache wenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.
Mheshmiwa huyu now days kwenye mikutano ya ACT simuoni, kwenye midahalo simuoni, kwenye vyombo vya habari haandikwi, kwa kifupi hasikiki completely tofauti na ninavyotarajia kwa yeye kama kiongozi mkuu wa ACT.
Wale wanaojua alipo watuambie naamini jimboni kwake ni mteremko.
Yupo kachanganikiwa kwani bado hajitambui. Habari za uhakika zinasema anatafuta namna ya kuichafua Ukawa ili CCM imlipe milioni 200. Huyu kijana kaishiwa kisiasa.
Kamwite dada baba yako. Kwanza usizoee kuniquote quote ovyo, ntakunyosso.