respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Sikaenda vetnamWakuu habari za kitambo kirefu....
Naam ni muda sasa umepita tangu Magufuli amteue jamaa huyu kuwa Waziri wa Wizara inayohusiana na mambo ya Mifugo. Uteuzi huo ulikuja baada ya kazi iliyoonekana kama ni ya kutukuka aliyoifanya bwana huyu alipokua N/Waziri wa Fedha.
Alipokabidhiwa Wizara hiyo alianza kwa mbwembwe nyingi kiasi akafungia Mchinjio za Vingunguti nahatimaye kuelekea Chalinze kwa aliyekuwa mwana mfalme kukagua ranchi ya Taifa.
Tangu hapo hajasikika tena, kiasi sasa wadau wananza kuhisi kwamba pengine ilikuwa nguvu ya soda. Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hali ya juu ambaye kila mti na Mawe yaliyoonekana ni makubwa yalipitiwa nawinowenye maandishi ya jina lake wakati wa kura za maonindani ya chama chake. Haikutarajiwa kwamba atazima ghafla kiasi hicho.
Ndipo watu tunajiuliza Rais huyo wa Mawe, Miti, Milima na Michongoma kimempata nini? Kwamba ameshindwa kwenda na kasi ya Magufuli au tatizo ni nini?
Tafadhali kama unajua aliko Waziri wetu hebu tujuze.
BACK TANGANYIKA
Acha kumpaisha wewe, bora ungeanzisha uzi wa kumsifia lukuvi
anatakiwa alazimishwe kufuta kote kwenye maandishi yale,,,Duh, eti rais wa mawe na michongoma! Hiyo paragraph karibu na mwisho ndio ungeanza nayo juu.
Hahaaaaa kwa hiyo kaishiwa pumziPumzi kitu muhimu sana mida hii, pushap za Magufuli hazikuwa za bure, jamaa yuko fit, kuna watu pumzi inaanza kukata.
Mwigulu aliondoka na Rais wa Vietnam kujifunza uvuvi na kilimo yeye pamoja na waziri wa viwandaWakuu habari za kitambo kirefu....
Naam ni muda sasa umepita tangu Magufuli amteue jamaa huyu kuwa Waziri wa Wizara inayohusiana na mambo ya Mifugo. Uteuzi huo ulikuja baada ya kazi iliyoonekana kama ni ya kutukuka aliyoifanya bwana huyu alipokua N/Waziri wa Fedha.
Alipokabidhiwa Wizara hiyo alianza kwa mbwembwe nyingi kiasi akafungia Mchinjio za Vingunguti nahatimaye kuelekea Chalinze kwa aliyekuwa mwana mfalme kukagua ranchi ya Taifa.
Tangu hapo hajasikika tena, kiasi sasa wadau wananza kuhisi kwamba pengine ilikuwa nguvu ya soda. Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hali ya juu ambaye kila mti na Mawe yaliyoonekana ni makubwa yalipitiwa nawinowenye maandishi ya jina lake wakati wa kura za maonindani ya chama chake. Haikutarajiwa kwamba atazima ghafla kiasi hicho.
Ndipo watu tunajiuliza Rais huyo wa Mawe, Miti, Milima na Michongoma kimempata nini? Kwamba ameshindwa kwenda na kasi ya Magufuli au tatizo ni nini?
Tafadhali kama unajua aliko Waziri wetu hebu tujuze.
BACK TANGANYIKA
Wakuu habari za kitambo kirefu....

Aaah unafiki mbaya sana yupo kagera kikazi ulitaka abaki hapa dar ili ulete unafikiWakuu habari za kitambo kirefu....
Naam ni muda sasa umepita tangu Magufuli amteue jamaa huyu kuwa Waziri wa Wizara inayohusiana na mambo ya Mifugo. Uteuzi huo ulikuja baada ya kazi iliyoonekana kama ni ya kutukuka aliyoifanya bwana huyu alipokua N/Waziri wa Fedha.
Alipokabidhiwa Wizara hiyo alianza kwa mbwembwe nyingi kiasi akafungia Mchinjio za Vingunguti nahatimaye kuelekea Chalinze kwa aliyekuwa mwana mfalme kukagua ranchi ya Taifa.
Tangu hapo hajasikika tena, kiasi sasa wadau wananza kuhisi kwamba pengine ilikuwa nguvu ya soda. Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hali ya juu ambaye kila mti na Mawe yaliyoonekana ni makubwa yalipitiwa nawinowenye maandishi ya jina lake wakati wa kura za maonindani ya chama chake. Haikutarajiwa kwamba atazima ghafla kiasi hicho.
Ndipo watu tunajiuliza Rais huyo wa Mawe, Miti, Milima na Michongoma kimempata nini? Kwamba ameshindwa kwenda na kasi ya Magufuli au tatizo ni nini?
Tafadhali kama unajua aliko Waziri wetu hebu tujuze.
BACK TANGANYIKA
Atakuwa yupo mafichoni kuwatengenezea kesi ya ugaidi viongozi wa chadema.Wakuu habari za kitambo kirefu....
Naam ni muda sasa umepita tangu Magufuli amteue jamaa huyu kuwa Waziri wa Wizara inayohusiana na mambo ya Mifugo. Uteuzi huo ulikuja baada ya kazi iliyoonekana kama ni ya kutukuka aliyoifanya bwana huyu alipokua N/Waziri wa Fedha.
Alipokabidhiwa Wizara hiyo alianza kwa mbwembwe nyingi kiasi akafungia Mchinjio za Vingunguti nahatimaye kuelekea Chalinze kwa aliyekuwa mwana mfalme kukagua ranchi ya Taifa.
Tangu hapo hajasikika tena, kiasi sasa wadau wananza kuhisi kwamba pengine ilikuwa nguvu ya soda. Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hali ya juu ambaye kila mti na Mawe yaliyoonekana ni makubwa yalipitiwa nawinowenye maandishi ya jina lake wakati wa kura za maonindani ya chama chake. Haikutarajiwa kwamba atazima ghafla kiasi hicho.
Ndipo watu tunajiuliza Rais huyo wa Mawe, Miti, Milima na Michongoma kimempata nini? Kwamba ameshindwa kwenda na kasi ya Magufuli au tatizo ni nini?
Tafadhali kama unajua aliko Waziri wetu hebu tujuze.
BACK TANGANYIKA
Yupo anavuta tu RUSHWA kwa WATUSI wenye Mang'ombe kwenye hifadhi za Taifa!Hatasikika sana kwani pamoja na majukumu mazito aliyonayo anajisomea doctorate yake pale mlimani. Subiri amalize mwone moto wake.