Wana jf, tangu uchaguzi wa arumeru mashariki ulipoisha na kijana machachari wa chadema (joshua nasari) kuibuka mshindi dhidi ya sioi sumari(ccm) ambaye ni mkwe wa lowassa.hatujawahi kumsikia tena..wala hatuja sikia akitoa mchango wowote ule kwa chama chake ccm.je yuko wapi? Nini hatma yake kisiasa? Mwenye habari zake atujuze.karibuni sana wana jf.