(SAIGON)Huyu jamaa moja ya hip hop artists wakali kibongo bongo, mara ya mwisho nimemuona akihost dance%
Yuko wapi na anafanya nini sasa hivi? Pia msaada jina la account yake ya instagram anaeijua wanaJF..β
Last time nilimuona mitaa ya sinza palestina akiwa na mashekhe wa dini Inaonekana saiv kabadili mfumo wa maisha, sio mtu Tena wa mambo ya hip hop, saiv ni mtu wa misingi ya dini na mtu wa swala Sana