Yu wapi Richard Tambwe Hiza

Ukishagundua aliekupandisha kasusa, kashaanza kukushusha, You better retire
ushakua ka kondomu used umesha expire
#Joh Makini#
 
Richard Tambwe Hiza yuko Kitengo kimoja nami.Yuko Kitengo cha Propaganda hapa Ofisi Ndogo za CCM,Lumumba. Kiukweli,si yule. Amesawajika kimwili,kimaisha na kiakili.Kila siku analalama kuhusu adha zinazomkabili za kimaisha. Hata leo,anasema hajisikii vyema.Lakini,CCM bado inamtegemea kama Kiongozi wa kuibakisha Temeke mikononi mwetu. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
 

Kashamaliza Course yake ya Certificate in IT pale chuo jirani na ofisi yao (LearnIT )
 
Mimi ni mfuatiliaji wa mambo ya siasa japo sio kwa asilimia mia moja.

Kikubwa ninachotaka kujua ni kupotea kwa bwana TAMBWE HIZA mwanasiasa aliyevuma sana kipindi cha nyuma mwenye taarifa atuwekee hapa tujue anafanya nini kwa sasa au ndo wema wa kalai kwa kujenga ghorofa kisha kutupwa.
 
Ni muda mrefu umepita huyu bwana hatujamsikia wala kumuona kabisa..
Jee..,alishahama tena ccm au bado yupo,,na kama yupo jee ana wadhifa ganii...?
Mwenye habari zake hebu atujuze..
huyo jamaa atakuwepo tu ila huwa wanatumika kwa wakati maalum kama... (ashaakum)
 
Yu Dar es Salaam kimaisha hayupo sawa anadai siasa umaskini zaidi namba zake 0655263798-0755263798
 
Nilikua nae katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura week moja iliyopita. Aliniambia anataka kugombea ubunge jimbo la mbagala. Ila kafilisika sana kisiasa.
 
Nilikua nae katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura week moja iliyopita. Aliniambia anataka kugombea ubunge jimbo la mbagala. Ila kafilisika sana kisiasa.

Hana jipya tambwe. Kafulia kabisaaa.wenzake wanatoka CCM yeye chakushangaza ndio kakimbilia.
Pole yake ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…