Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 541
- 175
Ni muda mrefu umepita huyu bwana hatujamsikia wala kumuona kabisa..
Jee..,alishahama tena ccm au bado yupo,,na kama yupo jee ana wadhifa ganii...?
Mwenye habari zake hebu atujuze..
Huyo alishatumiwa kama ile mipira na hivi sasa ukimuona utasikitika ! Anatumia baloon old model iliyochoka haina hata taa za pembeni (sijui zinaitwa indicator ) , polisi wa usalama barabarani badala ya kumkamata huwa wanamsikitikia tu , huyo atakaye mtegemea Tambwe kwenye kampeni atakuwa anajifurahisha au anadanganya , Tambwe hana ushawishi tena , shortly ni kwamba Amechoka ! Hilo ni funzo kwa wasaliti wengine ! Poor Tambwe ! DUNIA HAINA HURUMA - Bahati Bukuku .
Muosha Huoshwa!!! Jitihada zake kama za Livingstone Lusinde A.k.a Mzee wa Bajaji ziliishia baada ya wakubwa kuvuka mto yeye kaachwa ng'ambo. Yawezekana anatamani kurudi upinzani lakini ukitukana mamba kabla ya kuvuka mto matokeo yake ndiyo hayo.
hajapewa ubalozi kweli
Huyu anapatikana sana pale Tanesco Temeke, ni kishoka mzoefu sana, kwa wale wenye shida ya kuunganishiwa umeme kinyume cha taratibu wamwone haraka.
Ni muda mrefu umepita huyu bwana hatujamsikia wala kumuona kabisa..
Jee..,alishahama tena ccm au bado yupo,,na kama yupo jee ana wadhifa ganii...?
Mwenye habari zake hebu atujuze..