We Know Next
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 814
- 380
Anajipanga kuutwaa uenyekiti wa Tume ya Katiba
Anajipanga kuutwaa uenyekiti wa Tume ya Katiba
Nafikiri swala la Prof. mtani wangu Kabudi lilijadiliwa hapa na kutolewa ufasaha wa wazi kabisa.
Mahakama haiwezi kulilalizimisha BUNGE kubadili katiba. Sisi Mi-Tanzania yenye WIVU WA KIKE ndiyo tunaweza kuwachagua wabunge ambao wakienda Bungeni wataweza kubadili katiba.
Inabidi kuelewa mgawanyo wa hiyo mihimili mitatu. Mahakama inaweza tu kuionyesha Serikali/bunge kuwa hili Swala linavunja haki ya binadamu na katiba inabidi ibadilishwe. Bunge linasema ndiyo tutabadili (Wanaliweka kwenye ajenda za baadaye ambazo zinaweza kuchukua hata miaka 50).
Ndiyo maana wananchi walivyoanza kukomalia KATIBA MPYA, mchakato ukaanza. B
Badala ya kulia na Kabudi ambaye alisema ukweli kabisa (hata mie mwanzo nilimlaani) basi tuanze kulia na WABUNGE WA CCM.
Kati ya wasomi ninaowaona ni amnazo ni dr bana na prof kabudi. Kabud kwenye kesi ya mtikira kuhusu mgombea binafsi mahakama ilimuita akapinga mgombea binafsi.huyu huyu alitumiwa na bunge kuaralisha mswada wa katiba.apa jf waliwai kuweka matokeo yake ya chuo kikuu. Alionekana mwenye akili sana ila kwa hili ni bogus.dr bana na reet ni aibu tupu. Hawa wakikutana pamoja na dr slaa,prof baregu na nshara lugemeleza lazma wakimbie.
Anajipanga kuutwaa uenyekiti wa Tume ya Katiba
Wana Jamvi, suala la muswada wa katiba, limefika patamu, kwa pumba kujulikana pumba na mchele kujulikana mchele. Nakumbuka kabla ya hoja hii kufikishwa Bungeni Prof. Paramagamba Kabudi, alipelekwa pale dodoma kuwapiga msasa wabunge kuhusu hili hasa akiwa na mlengo wa Ki CCM zaidi. sasa mambo yameback fire, nina hamu ya kumsikia atasema nini kwa hili sasa. Kabudi funguka tukusikie..... maana umeshikwa uchawi...
Ndyoko umenena hawa ndo wanasababisha madr kutukanwa na wanasiasa Paramagamba Aidan Kabudi hovyo kabisa.Jamaa alijua atapewa uenyekiti wa kuchukua kura za maoni juu ya uundwaji wa akatiba mpya, bahati mbaya ******* yememshuka utadhani ana mshipa wa kitanga. Hovyo sana yule, ndo maana wanasiasa huona wasomi ni wajinga tu coz ya kuwa na watu kama huyu walioshindwa kutumia elimu zao kwa manufaa ya nchi