Yu wapi Prof. Paramagamba Kabudi?

type za huyo profesa unakuta alikuwa mtu wa kujipendekeza kwa maticha/informer tokea shule ya msingi...
 
Kabudi akikutana na Slaa na Baregu lazima akimbie. I wish na Prof. wa ukweli Shivji naye awe included kwenye hiyo tume

Hawa wote Magwanda, wachague kwenye kamati yako ya harusi watakusaidia, ila sio tume ya katiba

 
Wana Jamvi, suala la muswada wa katiba, limefika patamu, kwa pumba kujulikana pumba na mchele kujulikana mchele. Nakumbuka kabla ya hoja hii kufikishwa Bungeni Prof. Paramagamba Kabudi, alipelekwa pale dodoma kuwapiga msasa wabunge kuhusu hili hasa akiwa na mlengo wa Ki CCM zaidi. sasa mambo yameback fire, nina hamu ya kumsikia atasema nini kwa hili sasa. Kabudi funguka tukusikie..... maana umeshikwa uchawi...
Kumbe haya mambo ya Ukasuku hajaanza leo wala jana
 
Maprof wengine bwana...wanapiga kelele kwa kupindisha ukweli na mate yakiwatoka utafikiri kweli kumbe njaa tu. Jamaa alipinga mgombea binafsi mahakamani baada ya kuhudhuria mkutano wa NEC ya magamba....akapata chake mfukoni sasa na hapa lipewa night allowance akabomoka upupu wake...****** kaona mbali zaidi ya magamba na maprof wao sasa wanaweweseka
Aiseee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom