Alitumiwa kama ped kazungunga kanda ya ziwa anaimba mama mama mama mwishowe kadampiwaTena asome hadi za kichina hawa jamaa walibariki uchawa
TESHA kapelekwa vitani Ukraine kama adhabu.Tumuombee maana kurudi ni majaliwaWA Nini sasa?
Mimi naulizia alipo Tesha kijana pekee aliyetoka waziwazi akamchana afande CDF
UzushiTESHA kapelekwa vitani Ukraine kama adhabu.Tumuombee maana kurudi ni majaliwa
Utawachunguza wote wakina Nchimbi, Jaffu na wengine wote wliopata Ph.D za mchongo Mzumbe na UDom?Alikuwa anajidanya yeye ni Motivation Speaker badala kuwa Mtendaji Serious kama Majaliwa.
Huyu hata PhD yake tuichunguze
Nchi isharudi kwa wenyewe team magufuli yote imetolewa out
Utawachunguza wote wakina Nchimbi, Jaffu na wengine wote wliopata Ph.D za mchongo Mzumbe na UDom?
Kweli anatembelea bajaj, kwamba Hana Gari binafsi, au anaigiza aonekane Lofa tu,Jamaa ni kama kachanganyikiwa vile,kuondolewa ulinzi na escot+masaluti kama yote..sasa hivi anatembelea bajaji.
Kajiwekea au kawekewa na serikali kutokana na hadhi yake Naibu Waziri Mkuu?Jamaa alikua anajimwambafai..eti akajiwekea lami hadi mlangoni kwake.
Kitu ambacho hukijui ni kwamba mwamba analindwa mpaka anakufa na masalute juuJamaa ni kama kachanganyikiwa vile,kuondolewa ulinzi na escot+masaluti kama yote..sasa hivi anatembelea bajaji.
Mwigulu nafiri angekuwa Mwenyezi, sio PMMwigulu hana cha kujifunza kwa Biteko, anaropoka tu
Aliforce awekeweKajiwekea au kawekewa na serikali kutokana na hadhi yake Naibu Waziri Mkuu?
Hajaforce ila wadhifa aliokuwa nao! Mpaka mda huu kwake panalindwa na atalipwa mpaka kufa kwake yani yule na Waziri Mkuu Mstaafu utofauti ni mdogo sanaAliforce awekewe