Yu wapi Mary Nagu?

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Naomba kujuzwa wanajamvi. Huyu mama mara ya mwisho nilisikia atahojiwa na TAKUKURU kuhusu tamko lake, kwamba Kuna upungufu wa sukari nchini, hivyo serikali iluhusu uagizwaji wa sukari toka nje.
Mwenye taarifa zake anijuze.
 
TAKUKURU kila siku wanashindwa, naona wameamua kumuacha mama aendelee na shughuli zake.
 
Yupo tu,ngoja bunge lianze utamuona akiuliza maswali, tofauti na zamani alikuwa akijibu maswali.
 
Naomba kujuzwa wanajamvi. Huyu mama mara ya mwisho nilisikia atahojiwa na takukuru kuhusu tamko lake, kwamba Kuna upungufu wa sukari nchini, hivyo serikali iluhusu uagizwaji wa sukari toka nje.
Mwenye taarifa zake anijuze.
Unamtakia wa nini? Nenda bungeni utamwona
 
Naomba kujuzwa wanajamvi. Huyu mama mara ya mwisho nilisikia atahojiwa na takukuru kuhusu tamko lake, kwamba Kuna upungufu wa sukari nchini, hivyo serikali iluhusu uagizwaji wa sukari toka nje.
Mwenye taarifa zake anijuze.
Yuko Jimboni kwake Hangang pia unaweza kumpigia directly ukamuuliza au nenda Bungeni Kesho atakuwepo
 
Inasikitisha sana Huyu mama nae ana price tag?....huwezi amini very senior politicians na senior minister...ananunuliwa kirahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom