Yu wapi mama Janeth Magufuli?

Ni takribani wiki moja tangu Rais Magufuli atue Chato kwa mapumziko. Katika kipindi hiko hatujamuona mama Janeth. Rais Kenyatta ameenda Chato, mama Janeth hajaonekana. Leo tumezindua mbuga, mama Janeth hajaonekana. Je mama Janeth ni yu wapi?
Sometimes Muache Umbea bhana..hii ni maisha binafsi ya mtu...uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi manufaa yoyote
 
Duh ! Binadamu .ndio maaana raisi marufuku kuwa na simu kwa sababu mambo kama haya
 
Sometimes Muache Umbea bhana..hii ni maisha binafsi ya mtu...uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi manufaa yoyote
Huyo ni first lady asee au hujui maana na umuhimu wake??. kama uzinduzi wa wasafi TV Diamond alikuwa na Tanasha ijekuwa kwa first lady kuhudhulia tuko muhimu tena wakiwa mapumziko???
 
JPM alishaga wajibu mara kibao tu ila hamsikiagi - mnamuulliza anawahusu? wa kwenu?
 
Sometimes Muache Umbea bhana..hii ni maisha binafsi ya mtu...uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi manufaa yoyote
Hapana ni vema kujua public figures zilipo! isijekuwa kate@kwa nchi ipo kimya?
 
Sometimes Muache Umbea bhana..hii ni maisha binafsi ya mtu...uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi manufaa yoyote
Yule ni first lady mku raia wana haki ya kujua yuko wapi na kwa nini aonekani,au unataka tuongozwe na raisi muhuni asie na mke (kama labda wametengana) lazima tujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…