Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Ni muda umepita sasa, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dokta Hussein Mwinyi hajaonekana hadharani.
Tangu wakati wa bajeti ya Wizara yake, mpaka juzi uwekaji wa jiwe la msingi wa Ikulu ya Chamwino hajaoenakana!
Je, ni wapi alipo Waziri wetu huyu wa Ulinzi?