Yu wapi Dkt. Hussein Mwinyi?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,714
45,099
Ni muda umepita sasa, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dokta Hussein Mwinyi hajaonekana hadharani.

Tangu wakati wa bajeti ya Wizara yake, mpaka juzi uwekaji wa jiwe la msingi wa Ikulu ya Chamwino hajaoenakana!

Je, ni wapi alipo Waziri wetu huyu wa Ulinzi?
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Ana imarisha ulinzi visiwani!
 
Back
Top Bottom