Yu wapi Charles Kayoka?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,373
Reaction score
12,017
Kwa wakongwe wa habri nchini, bila shaka mtakuwa mnamjua ndugu Charles Kayoka, huyu kwa mara ya mwisho alikuwa mwalimu wangu pale chuo kikuu cha Tumaini DSM, walai nilipenda jinsi alivyokuwa akifundisha.

Si tu kufundisha ila pia nilipenda sana jinsi alivyoweza kuichambua serikali na mfumo mbovu wa upendeleo katika utoaji na upandaji wa ngazi za kielimu wa chuo kikuu cha DSM. NILIMPEND SANA jinsi alivyo isema serikali paspo kuogopa, na uku akijua kabsa kuwa chuoni na darasani kwetu tulikuwa tukisoma na usalama wa taifa nilipenda sana maana katika Critisim zake alianza kuwatusi usalama ili awatie kiwewe wakaseme kwa wakubwa wao.

Yu wapi Mwalimu wangu huyu Mkongwe wa tasnia ya habari nchini?
 
Yupo sehemu salama pamoja na Ben Saanane. Maana kwa wasifu huo na awamu hii inavyopenda kukosolewa lazima itakuwa amepewa hifadhi salama kabisa ya milele.
 
Alisha tangulia mbele za haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…