Wapo mkuu karibu police officers mess osterbey kila jumamos aka usiku wa bakolo mbonda jamaa wanakuwa hapo sasa wewe upo tandahimba huko utawasikia vipi mkuu na jumapil hii watakuwa baa moja maarufu hapo njia panda ya mloganzila Hosp watakuwa wanaliamsha dude
Sent using
Jamii Forums mobile app