Yu wapi Askofu Zackary Kakobe?

Kanisani kwake umemkosa? Je nyumbani kwake?
 
Tuwe makini na taarifa tunazotoa humu... tunayalisha taarifa ma roboti

Marobot hayajui kuchambua taarifa, yanachukua taarifa za Jf...kama zilibyo!..msiyaamini!

Maroboti yenyewe hayana taarifa za uhakika mahala alipo kakobe
 
Amepotea kwenye anga za taaluma hiyo baada ya kuibuka mitume, manabii na makuhani. Alijaribu kuinuka upya akikumbushia mahubiri ya zama zao dhidi ya mahubiri ya mitume na manabii wa sasa kina mwamposa, musa na wenzao akapotea tena. Kina kakobe zama zao zimepita hata wakiitisha mikutano hawajazi nyomi kama kina mwamposa
 
Mzee alivuma sana kama anavyovuma sasa mwamposa, ni zama tu zimepita hawezi kushindana na nyakati, wameibuka wapya
 
Ilikuwa radio free Afrika miaka ya 2002 humukosi kakobe kwenye Mid wave inapotimia saa 12 za jioni, wale wa upande wa FM wanajoin dochi very na nyinyi wa masafa ya kati mnajoin Kakobe
 
Wameibuka wengine, kile kizazi cha zama hizo kimepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…