Yu hai huyu mtu?

mwili ndio uliyodhoofu pale tena umedhoofu vibaya ila sio ubongo...I know a brain dead idiot, we have him ryt here. ni mzima na anavaa suti ila ubongo wake, unanitia mashaka!
..........mtu yuko kwenye coma, na bado anaonekana active ! ............mmmh !:A S 39:
 
..........mtu yuko kwenye coma, na bado anaonekana active ! ............mmmh !:A S 39:

............kuwepo kwake kwenye hali hiyo ni kwa ajili ya kuthibitisha aya hii katika Qur'an:

"Na hakika utawaona (hao Makafiri) ni wenye kushinda watu wote kwa pupa ya kuishi, na kuliko washirikina. Kila mmoja wao anatamani lau angalipewa umri wa miaka elfu. Wala hayo ya kuzidishiwa umri hayamuondeshei adhabu; na Mwenyezi Mungu anayaona wanayo yatenda.
Qur'an: 2: 96.
 
rodrick alexander umeiweka siku yangu vizuri sana ninacheka simalizi hii statement yako hahaaaa
long live JF
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…