kabagambe rubajuma
Member
- Oct 14, 2017
- 84
- 51
Habari wakuu na mgahawa wangu wa chakula, sasa nataka kuanza kufanya deliverly kwa wateja wangu, so kwa yoyote anaye jua jinsi ya kuweka chakula vizuri mbaka kina mfikia mteja katika hali mzuri na katika ubora wake anielekeze pls!