Youtubers tukutane hapa

Youtubers tukutane hapa

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,411
YouTuber Tukutane Hapa
Je, unamiliki YouTube channel au unataka kutengeneza na kupata Ujanja Zaidi mfano kuongea Views na subscribers? Basi pitia hapa.
Wadau kama wewe ni mmiliki au mtengenezaji wa channel YouTube.

Au ni mdau wa YouTube, tukutane hapa ili kujadili maswala yanayo husiana na YouTube channel kama vile kutengeneza, kumonitor, kupata mbinu mbalimbali za kupata subscribers, viewers, comment na shares.

Pia uwanja huu utahusisha Sub for sub(Sub4sub).
Kwa wenye channel

Jinsi ya kutengeneza channel inayo lipwa soma hapa Jinsi ya kutengeneza You Tube channel
Kuona channel niliyo tengeneza mwenyewe kupitia madini ya humu Bonyeza HAPA
 
kukuza channell ni ubunifu wako wewe mwenyewe kuwa na content nzuri jiumge namagroup mengi ya whatsapp mske shure ni mcheshi jenga urafiki na kila mtu unambiaas 1yr una sub wskutoshaa tuuu...
 
Wadau kama wewe ni mmiliki au mtengenezaji wa channel YouTube.
Au ni mdau wa YouTube, tukutane hapa ili kujadili maswala yanayo husiana na YouTube channel kama vile kutengeneza, kumonitor, kupata mbinu mbalimbali za kupata subscribers, viewers, comment na shares.
Pia uwanja huu utahusisha Sub for sub(Sub4sub).
Kwanza kabla ujafungua channel ya YouTube ushajiuliza kwanini unafungua hiyo channel pili jiulize maudhui yako ni yapi?
Ukinipa majibu nitakuja na vitu vingine ili twende sawa lengo letu tufanikiwe kama wengine.
 
Comments za youtube zinaboa kila mtu anaomba like bhanahawa watu wananiboa sana.
Utakuta "wa kwanza kuview naomba like zenu" , mara nipeni like 100 kwa ajili ya fulani, mwenzenu sijawahi kupata like jamani naombeni tano tu.. kama unaikubali hii ngoma gonga like twende sawa... dah!
 
Mkuu mimi nimefungua channel ili kutoa habari mbalimbali kama zile zilizo vunja rekodi (rekodi mbalimbali) pia kuhabarisha na kuburudisha.
Karibu kushare maoni
 
Mimi leo nimeupload nonstop yangu ya bongoflava okdakool youtube..ambayo nimeimix mwenyewe lakini wameitoa nakusema kuwa kuna content za ngomma vas..sijaelewa kabisa
 
Mkuu hapo inatokea kama kuna maudhui yana hakimiliki.
Inaweza kua video ulizo changanya humo au sauti (beat).
Hivyo jaribu kubadilisha vitu hivyo harafu uploud upya
 
Comments za youtube zinaboa kila mtu anaomba like bhanahawa watu wananiboa sana.
Utakuta "wa kwanza kuview naomba like zenu" , mara nipeni like 100 kwa ajili ya fulani, mwenzenu sijawahi kupata like jamani naombeni tano tu.. kama unaikubali hii ngoma gonga like twende sawa... dah!

Nimekugongea like.
 
Mm nimekuza channel yangu kwa mbwinu Moja rahisi sana..

* Kupiga kazi bila kuacha au kukaa muda murefu bila kuzalisha content

Kawaida ya algorithm huwa ina recommends channel ambayo muda mwingi inazalisha content back to back bila kuchoka.

Kwa hiyo nikujitahidi kutengeneza contents za kutosha na kuaploads video mara kwa mara.
Mm binafsi kwa sasa kila siku lazima niapload video 2 mpk 3 kwa siku

Siku nikiwa na muda wa kutosha huwa na tengeneza hadi video kumi
Ili hata siku nikishindwa kuzalisha content basi siwezi shindwa cha kupost.

Nakuhakikishia ukianza kufanya hayo niliyokuambia hakika utayaona mabadiliko makubwa ukilinganisha na awali.

Mungu hakutuumba wavivu sema tunaupandikiza tu.
 
Comments za youtube zinaboa kila mtu anaomba like bhanahawa watu wananiboa sana.
Utakuta "wa kwanza kuview naomba like zenu" , mara nipeni like 100 kwa ajili ya fulani, mwenzenu sijawahi kupata like jamani naombeni tano tu.. kama unaikubali hii ngoma gonga like twende sawa... dah!
Uwa najiuliza hizo llike zinawapa faida gani yani ni kama ufala fala flani hivi
 
Comments za youtube zinaboa kila mtu anaomba like bhanahawa watu wananiboa sana.
Utakuta "wa kwanza kuview naomba like zenu" , mara nipeni like 100 kwa ajili ya fulani, mwenzenu sijawahi kupata like jamani naombeni tano tu.. kama unaikubali hii ngoma gonga like twende sawa... dah!

😂 Mwengine utaskia "Natokea korea kaskazini sijui kiswahili kabisa ila hii ngoma ni shigida" 😂😂
 
Back
Top Bottom