'Youth MENTAL ALIENATION' na michakato mbali mbali kuelekea uchaguzi mkuu 2015

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Baada ya kuzuka kwa mitandao ya kijamii amabayo imesaidia vijana kuwa wapambanaji,
sio siri sasa kumezuka mitandao ya ngono na mambo ya kipuuzi ambayo inawavutia
vijana na kuwafanya wapoteze muda mwingi kwa kuangalia mambo hayo.

Binafsi nimepata fursa ya kubrowse kwa maana ya kufungua mitandao hiyo hasa ule unao anza na
RaHa..... na Mzeewa........ ila najiuliza kwanini imeanzishwa kipindi hiki cha kuelekea mapinduzi na uhuru wa
kweli.

Nakumbuka Ze utamu na matokeo yake ila hii ni funga kazi. Mkiniruhusu niweke link zake ntaweka hapa
lakini sidhani kama ni vyema kufanya hivyo.

Tujadili, maana huu ndo mstakabali wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom