Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,132
- 10,514
Baada ya kufungwa na Singida, sasa rasmi Azam FC hawatoweza kufikia idadi ya alama walizomaliza nazo msimu uliopita (69) walipokuwa chini ya kocha msenegali Youssouph Dabo, mpaka sasa Azam wana alama 51, wamesalia na mechi 5 ambazo hata wakishinda zote watafikisha alama 66.
Tusamehe sana Kocha Youssouph Dabo ulikuwa Mbuzi wa kafara. Mungu akubariki sana kwa kazi yako.
Tusamehe sana Kocha Youssouph Dabo ulikuwa Mbuzi wa kafara. Mungu akubariki sana kwa kazi yako.