'...... you'r the most beautful girl/wife...........COMPLIMENTS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'...... you'r the most beautful girl/wife...........COMPLIMENTS

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIKUNGU, Apr 16, 2012.

 1. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Compliments can be indispensable to both finding love, and keeping its flames burning once you're in relationship. But we, African lovers are no longer satisfied with words of praise such as, ‘you look nice' or even over-the-top statement like, 'you're the most beautiful girl/wife in the world', When it comes to compliments, even if they sound interesting, original and above all sincere, does the other half value them and acknowledges that they hold water in relationship? Does our culture support and recognises compliments at all? You ladies/Lads, accepts compliments from the bottoms of your hearts? Are compliments reflected only in honesty and true love?Does it exists only in modern,middle and high class relationship?

  Please share with us.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Jamani kaka ungeandika kiswahili; anyway ngoja nitumie babylon translater yangu kwanza!
  LOL
   
 3. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Compliments zikizidishwa zinaboa.zinatakiwa kuwa sincere sio unanipa misifa kibao wakati najijua kabisa sistahili
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kwa maoni yangu, nafikiri hakuna jinsia inayopenda kusikia compliment kama sisi kina dada; au at least tunaoonesha waziwazi kuwa tunataka kumwagiwa vijisifa now and then. Na wengi twapumbazika kirahisi kwa sifa hizo hata kama twajua hazitoki moyoni mwa msemaji.

  Utamu zaidi unakuja pale ambapo unajua hiyo sifa ni kutoka moyoni mwa msemaji (kwa maana inaambatana na vitendo ambavyo vinaitafsiri hiyo "you are the most byutiful girl in the whole world" thing. Mfano if you cant stop staring at me, au you dont get enough of me n.k.

  Nitafurahi kujua kuwa na kina kaka nao wanapenda compliments, sometimes nafeel they dont care au may be we are chocking them with our "l love this and that, l like they way you talk kind of thing".

  Kwa muda ni hayo tu, naweza kuchangia zaidi wataalamu wakija!
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mimi kiukweli ukitaka kuniboa anza kunisifia
  mimi kama mtu akiniomba outing sipendi kabias kusikia haya maneno
  umependeza...
  Una miguu mizuri....
  Una macho mazuri..... And the like.....
  Wewe niulize tu unataka nini maana najijua nilivo bwana kwani sina kiooo?
  Sifa zenyewe za wanaume matapeli wakubwa nyie kwendeni huko
  uzuri bongoo?
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  matapeli on duty my dear tupilia mbali.....
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nnm hapo kwenye bold pananistua, ni sifa gani ambayo hustahili? Mf amesema wewe ni mdada mzuri kuliko wote duniani; ndivyo anavyokuona na kwa mtazamo wangu ndivyo mpenzi wako anapaswa kukuona. Si wanasema uzuri uko kwenye macho ya mtazamaji?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kama compliment ni sincere, zina uzuri wake.
  Zinakupa confidence na kukufanya ukisikie kijana zaidi.

  Natamani kushare a story hapa, but I cant.
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Smile, mdada mwenzio akikusifia unaboreka pia?
   
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Sincerity ndilo neno!
  Jamani kongosho, tushirikishe basi? Hata kwa PM
   
 11. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Daughter,sasa your other half atajuaje kwamba zimezidi au la?Na utajuaje kuwa compliments hizi zinatoka moyoni au la?
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,841
  Trophy Points: 280
  jamani hivi vitu vinategemeana na jinsi wawili wenye mahusiano walivyojizoesha mathalani kuna wengine ambao huwa tunapenda kusifiwa ktk utendaji wakazi like umepika msosi mzuri kweli, au mambo yako kwenye 6*6 ni yananichanganya, ila kwenye vitu vya nje like shape, kupendeza huwa vinaboa sana.

  ila sasa kuna wakati ukisifwa umependeza unapata confidence sana unapokuwa mbele za watu kwa hyo kila mtu inategemea anapenda nini au amezoea nini
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  siboreki cause hapo najua ni ukweli
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  switi kongosho share please
   
 15. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaa we smile sio mzima yaani umenifanya nimeangua kicheko mpaka nimejisahau kama niko kazini looh!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  :embarrassed1::embarrassed1:Naskia aiiibu siwezi hata tizama laptop tena.:embarrassed1::embarrassed1:
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  si hiyo tu, nafikiri coz unajua huyo dada hana anachohitaji hivyo unachukulia kuwa ni sincere. Najua ni vigumu kumtrust mwanaume (after what most of us went thru); unless we can do without them (full independence, madildo, au kubadilisha preference etc) nafikiri ni bora kutrust maana inaleta ladha ya mapenzi zaidi kuliko kuwa mguu mmoja nje mwingine ndani; ofcourse hakuna gurantee kuwa hautaumizwa tena, lakini ni bora kuishi for the moment and let tommorow take care of itself; enjoy it while it last.
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wewe unapenda kudanganyika yumy?
   
 19. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ai weeeee we Kooooongosho nifanye nini walau utumegee hiyo story
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Aibu na Kongosho equals theruji ya Kiangazi.....LOL
   
Loading...