President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
ukipiga namba unajibiwa ki-spain
Namba yao ya simu imesajiliwa UK, ila email yao, siyo ya kampuni ya NOKIA. How comes!
Ukitanguliza mbele tamaa ya hela ya haraka, usiotolea jasho, ndicho kitakachopiga hodi kwako.Mjomba wangu wa kijijini Komuge ilimkuta akaambiwa atume vocha ya shs 50,000 ili apate zawadi yake ya mil. 10. Jamaa akaingia kingi akawatumia hela, kilichofuatia ni ''namba unayopiga kwa sasa haipatikani tafadhali jaribu tena baadae''
<br />Waliwahi kunambia nimeshinda Tsh.5m, na wakahitaji kama laki1 ili wanitumie. Niliwaomba wakate hukohuko equal amount wakagoma, nikawambia wakate laki5 wakagoma, nikawapa ofa wakate 3m wakakataa na kunisihi niwatumie voucher za laki1. Nikatafuta zilitumika nikawatumia. Baadae wakanipigia wakisema hazikubali. Niliwambia ndiyo zimetumika! Ebana waliporomosha matusi usipimeee.