Your Mobile No. Has WON £315,000:00 GBP in NOKIA UK PROMO

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Wizi wa kimtandao. Muwe makini na simu zenu, jamaa wamehama kwenye intanet sasa wanakutumia sms kwenye simu yako direct. Imagine, unatumia simu ya Samsung, then unapokea msg umeshinda mahela ya Nokia!
 
hahahah hiyo imenikuta jana ucku msg inasema "" your cell number has won 415,000.00 pounds from nokia-uk promo......" but ukiangalia hiyo email ya kuwasiliana nao kwenye google unakutana na mengi tu
 
Hiyo mbona ipo kitambo mkuu,wanaofanya hiyo inshu ni wakenya wakikutumia msg kama hiyo, then wanakuomba uwatumie hela kidogo na acc yako ili wakamilishie scum,hapo hiyo hela watakuambia ni kwa ajili ya security,kodi na transfer ukiwatumia tu wafwa na namba yao huipati tena.
 
Mjomba wangu wa kijijini Komuge ilimkuta akaambiwa atume vocha ya shs 50,000 ili apate zawadi yake ya mil. 10. Jamaa akaingia kingi akawatumia hela, kilichofuatia ni ''namba unayopiga kwa sasa haipatikani tafadhali jaribu tena baadae''
 
Ukitanguliza mbele tamaa ya hela ya haraka, usiotolea jasho, ndicho kitakachopiga hodi kwako.
 
leo hii wamenitumia message inayosema YOUR MOBILE NUMBER HAVE WON 990000 POUNDS IN OUR NOKIA UK PROMO.FOR CLAIM SEND US YOUR NUMBER AND YOUR NAME! nikajiuliza kwamba kwani waliwezaje kutuma sms kama namba yangu hawaijui?
 
Waliwahi kunambia nimeshinda Tsh.5m, na wakahitaji kama laki1 ili wanitumie. Niliwaomba wakate hukohuko equal amount wakagoma, nikawambia wakate laki5 wakagoma, nikawapa ofa wakate 3m wakakataa na kunisihi niwatumie voucher za laki1. Nikatafuta zilitumika nikawatumia. Baadae wakanipigia wakisema hazikubali. Niliwambia ndiyo zimetumika! Ebana waliporomosha matusi usipimeee.
 
<br />
<br />
dah! Nimecheka sana, nami nitaitumia njia hii sehemu nyingi kwani hii nikiboko yao. Sipati picha walivyoshangilia baada ya kuona sms yako kabla hawajajua kuwa zimetumika!
 
Wa$€n&e sana hawa jamaa,
Mi ilishanitokea eti nimeshinda promo ya YAHOO eti kwakua mtumiaji mzuri w yahoo mail, nikawaambia wachague mawili,
Watume hela ndio niwatumie charges zao,
Au wakate hukohuko charges then watume net amount,
Wakanijibu wamekosea sie mimi nilieshinda!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom