Mkuu wangu @C6, nami nilitaka kuamini hivyo but ime-prove otherwise!! Hapa ninapo-type ipo kwenye HSPA, with Upload and download speed inacheza btn 0.00-2.00 kbps!! Yaani ikiisha hii bundle yao wanayojifanya Free 5GB, nitalazimika kurudi kwenye Tigo Modem.....ni mucha better mara 100 kuliko hii ya Vodacom!!NasDaz vodacom internet is the best, wengine mabasi mabovu tu, mabasi hata hufiki unakoenda. Sijawai furahia kusafiri kama nnavyosafiri na basi jekundu iwe safari za mchana au usiku na usijesema sijawahi panda hayo mengine, basi la bluu, kijani, hata ilo jekundu linalodai linatosha, hamna kitu hapo
Mkuu wangu @C6, nami nilitaka kuamini hivyo but ime-prove otherwise!! Hapa ninapo-type ipo kwenye HSPA, with Upload and download speed inacheza btn 0.00-2.00 kbps!! Yaani ikiisha hii bundle yao wanayojifanya Free 5GB, nitalazimika kurudi kwenye Tigo Modem.....ni mucha better mara 100 kuliko hii ya Vodacom!!
Aisee, ina maana inaweza kuwa ndio sababu? Kama ndivyo, niachane na hiyo free bundle sasa hovi coz' hapa nina laini ya Voda yenye credit ya kutosha wakati naitumia very rarely!! Ngoja ifike hiyo mida ni-prove madai yako!kumbe unatumia freebundle? Tafuta line nyngne af ikifka saa nne unga wajanja night offer kwa sh 200 tuu (unlimited) uone speed yake!
Mkuu wangu @C6, nami nilitaka kuamini hivyo but ime-prove otherwise!! Hapa ninapo-type ipo kwenye HSPA, with Upload and download speed inacheza btn 0.00-2.00 kbps!! Yaani ikiisha hii bundle yao wanayojifanya Free 5GB, nitalazimika kurudi kwenye Tigo Modem.....ni mucha better mara 100 kuliko hii ya Vodacom!!
Mkuu wangu leh, ngoja nijaribu ushauri wako ingawaje modem yangu mara zote kitaa kinakuwa kwenye light blue.mkuu, kwanza hakikisha upo on WCDMA only network (yaani 3G). speeds za Edge zinaweza kufanya ukalaumu mtandao coz kushika 100kB/s on Edge ni maajabu, wakati ukiwa on 3G, speeds za 100kB/s ni slow. so.... kujua kama upo on Edge au 3G, angalia kitaa kinachowaka kwenye modem yako (Green= Edge, dark blue=3G & light blue= HSPA). what you want is the light blue, as hiyo dark blue inaamanisha upo on 3G lakini mtandao upo chini kiasi kuwa speeds hazitakufurahisha.
modems, kama simu, zinatumia rule mmoja *connect to the strongest signal*. sasa, 80% of the tym (yaani unless upo chini ya mnara LOL), Edge inaizidi 3G reception because minara wanaotumia ilikuwa ya Edge wakaja kupachika 3G on top.
what does this have to do with my signal you ask? everything
because ya rule ya better signal kupewa priority, utajikuta most of the time on the slower network, yaani Edge. kuepuka hili, lazimisha modem yako kutafuta 3G network only, yaani WCDMA.
fanya hivi..
disconnect ur internet..
kwa kutumia dashboard yako, nenda kwa settings, then chagua WCDMA only. click apply and you are good to go
nitaweka screenshots baadaye
Mkuu wangu leh, ngoja nijaribu ushauri wako ingawaje modem yangu mara zote kitaa kinakuwa kwenye light blue.
Yah! Wakati wote inakuwa kwenye Light Blue!! Aidha, nimejaribu kutafuta ile option ya kuweka 3G, nimeshindwa kuiona lakini nakumbuka wakati na-install software, nili-opt always 3G.duh, kama kinakuwa light blue na bado hupati speed za kutosha... hama mitaa :biggrin: duh, pole mkuu wangu, mi kwangu arusha shida kama hizo hizo za kwako, ila mie nimejenga bondeni, siwalaumu voda kivile