Biashara ya muziki ikibuma shabiki haumdai, anagoma kuinga kaburin huyoi awe mpole tu mbona wenzake kina dogo janja nik mbish country boy na sterio wametulia ndani ya kaburi
ngoma kali ya kusindikiza 2014 imefanyika bongo records chini ya maproduza kadhaa huku vocal na mixing ikifanywa na dream big a.k.a majani na beat imesukwa na vichwa vitatu,,, palla midundo, amiga tyga na lollipop