kama ni kweli hii habari Young Dee kazingua li demu gani lile lina mchogo utafikiri nini sijuiApo chacha!!
Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali.
Ukweli
wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee
kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video vixen
kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Amber Lulu.
Akiongea na U-Heard ya Clouds FM, Amber Lulu amefunguka
ukweli kwa kusema kuwa amekuwa na mahusiano na rapper
huyo kwa tangu miaka minne iliyopita wakati akiwa mkoani
Mbeya.
“Marafiki zangu wanajua ni jinsi gani nilivyokuwa naishi
naye, mara ya mwisho alikamatwa na polisi mimi ndio
nilienda kumtoa ndugu zake wote walikataa kwenda, Mimi
nimeenda. Matatizo yangu yeye anayafurahia ina maana.Sikuwa nimefanya vile kwa kuwa alikuwa ni mpenzi wangu ni
mtu ninayemfahamu siku nyingi na ambaye tupo wote,”
amesema Amber.
Hance ushaachiwa baba na modkama ni kweli hii habari Young Dee kazingua li demu gani lile lina mchogo utafikiri nini sijui
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wameniachia bhanaHance ushaachiwa baba na mod
Yaan we acha tu kijana sijui macho yake yana matege ,ila navyoona kwa kuwa huyo msichana ni cheap sana akaone ngoja akaoshe rungu kidogo kashindwa kumliki Tunda huyo ana helaKaacha mtoto mkare kabisa kaja kachukua kichwa mkuki.
Safi sana aisee nilishaanza kuwaza nani umemuachia mikoba ya kumlinda tunda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wameniachia bhana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safi sana aisee nilishaanza kuwaza nani umemuachia mikoba ya kumlinda tunda
haipendezi kwakweli[emoji23][emoji23]Hivi inakuaje mtu unafuatilia maisha ya vi young young?? Dah!
Kama kuna meneja mwenye pesa za kutosha anataka kuwekeza na kujipatia umaarufu kwa Africa mashariki hii mimi namshauri awekeze kwa Amber lulu. Baada ya miaka kadhaa amber lulu atakuwa kama Hudah MenroeMtake radhi amber rose .... Amber lulu huyuhuyu mwenye kichwa kama ncha ya mb0.