Young Africans tunapoteza mechi leo

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
19,859
Reaction score
38,488
Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Yanga, ila Leo moyo wangu unakataa, tunapigwa 2 kwa 1 na Simbo, na anguko letu la miaka 4 litafuata!

Poleni sana wananchi wenzangu!
 
Nilikuwa najiandaa ki saikolojia, Huu Mji wetu wa Dar es salaam usingekalika
 
Nilikuwa najiandaa ki saikolojia, Huu Mji wetu wa Dar es salaam usingekalika
Wewe huwezi kuwa shabiki wa Yanga. Kwa sababu mpaka mpira unaanza, hakuna shabiki wa Yanga aliyekuwa na hofu, au mtazamo hasi kama huu wa kwako. Wengi tuliamini timu yetu itashinda. Na ndiyo maana hatukuwa hofu hata kidogo.
 
Okay, wewe ndo una haki ya kuwa shabiki wa Yanga!

Hersi mwenyewe pale Juu alikuwa ana wasiwasi, mashabiki maandazi bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…