The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Idumu yanga nawatakia jioni njema wananchi wenzangu
Idumu yanga nawatakia jioni njema wananchi wenzangu
Kuna watu wamenuna 😄
Yanga africa ikiwa kwenye picha ya pamoja na marais watatu
Hizi zote ni rekodiYanga africa ikiwa kwenye picha ya pamoja na marais watatu
Kitu kikubwa sana hiki aisee
Amina!Idumu yanga nawatakia jioni njema wananchi wenzangu
Kabisa mkuuHizi zote ni rekodi
Sisi hatuzoi tu kama mbumbumbu tunafanya mambo Kwa mipango na mahitaji. Kwa Sasa sisi siyo levo zenu za robo saa! Sisi ni finalists!Nyie vinyesi fc,vp mbona kimya,au ndo mkude[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shusheni vyuma kuku wahed nyie
Hata wakinuna haisaidiii Swahiba. 😂😂Kuna watu wamenuna 😄
Kipindi hiki cha usajili makolo ni wamoto ngoja sasa ligi ianze 😄Hata wakinuna haisaidiii Swahiba. 😂😂
Ndio mda wao wa kutambaKipindi hiki cha usajili makolo ni wamoto ngoja sasa ligi ianze [emoji1]
Huyu mwamba atacheza mpira mpaka afie uwanjani kuwakomoa makolo!Nasemaajeee nasemaajee. Kimewauumaaa. 😂
View attachment 2686370
Kabisa Mkuu.Huyu mwamba atacheza mpira mpaka afie uwanjani kuwakomoa makolo!