Youku, Copy n Paste ya Youtube,

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,232
Wanajukwaa katika zunguka yangu mitandaoni kutafuta Movies, nikakutana na hii site inaitwa youku, yaani ni REAL COPY N PASTE ya youtube, walichobadilisha wao ni lugha tu, HIVI SHERIA YA HAKIMILIKI INASEMAJE KUHUSU HILI, mtu unaruhusiwa kucopy site ya mtu bila kuulizwa, hebu icheki hii site hapa www.v.youku.com
 

.
Huruhusiwi kaka ndo mana kuna hiki kitu kakiweka Invisible
.
Copyright JamiiForums.com
.
Na japokuwa sijaipitia kabisa hiyo link ila sidhani kama zina copy kabisa ya you tube
.
 
Last edited by a moderator:



Please email to support@youtube.com
And dont forget to attach site URL
 

Youku si ya leo wala ya jana ilianza tokea zamani tu.... Namostly wanabase sana kwenye asian movies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…