You will always leave a trace

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
1,657
Reaction score
1,237
Habari
Kwa wale wataalamu wa software za "photo manipulation" kama GIMP,photoshop tuwe makini unapo edit kitu kwa ajili ya kutaka kumchafua mtu.
kinachosababisha ni mtu kuwa na haraka na kusahau kuwa makini na kazi yake ila pia kwa wale investigators unatakiwa uwe unauwezo kwa kuangali details kwa umakini.

Jamaa alitaka kumchafua raisi wa Irani(Ahmadinejad) ila akasahau kumodify background,background ya picha ya zamani hiyo hiyo akaiweka kwenye picha mpya.Check hapa




Ukitembelea hiyo link hapo juu utaona hapo nilozungushia red ni kifungo cha shati la mtu aliyekuwa kwenye picha ya kwanza ,pia kimeonekana kwenye photoshopped picha.

"Plan well your move".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…