The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Sio kweli.Ukishazima VPN offa features zote zitatoka, huku afrika youtube ni bure huko nje wanalipia.
hata kama una videos uliziweka offline ukishaweka premium lazima zijifiche
Sio kweli.
Youtube ipo ya free, na premium. Premium ina ad free, listen on background na feature zinginr ambazo huzipati kwa youtube ya kawaida. Sio kwamba afrika youtube ni bure, dunia nzima ni bure.
We ndo huelewi, kuna content zinatengenezwa kwa ajili ya premium users, sisi wa free hatuzipati. kila sehemu uwa iko ivo. Ukitumia vpn ukaweza kuziona izo content means ni region restricted, lakini huwezi kuzifungua kwa sababu hujalipia, kutumia youtube premium unalipia kwanza. Na hata kama ungekuwa na youtube premium umelipia huwezi kuziona hizo content bila vpn...View attachment 1614597
Uwe unaelewa boss
Hizo nyimbo nilizidownload kwa Youtube ya TZ. Ukiweka VPN inakudai premium ili uone
We ndo huelewi, kuna content zinatengenezwa kwa ajili ya premium users, sisi wa free hatuzipati. kila sehemu uwa iko ivo. Ukitumia vpn ukaweza kuziona izo content means ni region restricted, lakini huwezi kuzifungua kwa sababu hujalipia, kutumia youtube premium unalipia kwanza. Na hata kama ungekuwa na youtube premium umelipia huwezi kuziona hizo content bila vpn...
Haya mtaalam nimekusomasasa pale juu ulinubishia nn
Ila hoja yangu ilikuwa sio bure afrika.Haya mtaalam nimekusoma
Ndio nashangaa hapa aisee! [emoji848]Umeilipia Bila kujua jinsi ya kuitumia kwanza?
Yani sisi ndiyo watu pekee ambao uwa tunafanya move bila plan, mfano kuchukua mkopo bank bila kujua hiyo ela tunaenda kuifanyia nini halfu baadae tunakuja uliza humu tuifanyie nini.Umeilipia Bila kujua jinsi ya kuitumia kwanza?
Yani sisi ndiyo watu pekee ambao uwa tunafanya move bila plan, mfano kuchukua mkopo bank bila kujua hiyo ela tunaenda kuifanyia nini halfu baadae tunakuja uliza humu tuifanyie nini.
Ina sikitisha sanaNdio nashangaa hapa aisee! [emoji848]