Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Nipo Lupiro, Ifakara. Naweza saidika?
Nipo Lupiro, Ifakara. Naweza saidika?
Duh! mi nipo daslam eh
Mna laptops? Taja bei
lekebisha kichwa cha habari ndio ntakua mteja wenu
tuna watoto wakali kinoma kutoka veta'nyie mna qualification za aina gani?
kwa sasa tuna laptop aina ya e machine brand new with 1 year waranty direct shiped from u.s.a ambayo tunaiuza shilingi laki saba.
umeleta Mini Notebook laptop? na kama zipo kiasi gani unauza? aina gan i na specification zake ni zipi?
poa kamanda ngoja nipitie hizo Specs zake then nitakujulisha