You have not secured loan

kuna watu imeandika hivyo na mkopo wamepata.. ngoja awamu zijazo kaka
 



me nkifungua nakutana na hiki kitu
yani sielewi ni kitu gan maana kimekuja nusu baadh ya maneno yamefichwa
 
msipaniki vijana hyo ni batch ya kwanza kwahyo ukiona haupo basi subiri batch zijazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…