You have not secured a loan!

Kama una kiasi cha kuanzia unaweza kuendelea huku ukiwa ume appeal.Applied geology huwa ina priority mbona

Nashindwa kuelewa kwa nini wamefanya hivyo istoshe shule zote nlosoma ni za government af course ina priority
 

kama hme maisha bra nenda chuo ila ka mzaz wako n mlalahoh potezea au omba mwakan mana matumz kwa chuo wastan bk 5 ad 8 kama up chuo chochote tz h
 
wote tumeandikiwa ivo "YOU HAVE NOT
SECURED LOAN kwo tuendelee kusubr
walopata ni wale wa medicine tu
 

Nyie si mliambiwa elimu itakua bure mpaka chuo kikuu alafu mkakataa!! sasa unacholalamika hapa nini??
 
Nashindwa kuelewa kwa nini wamefanya hivyo istoshe shule zote nlosoma ni za government af course ina priority

kupata mkopo haijalishi ulisoma wapi, wenzako wamepiga zote private ila bado wana mkopo mzuri tu!!!
 
Daaaah mpaka thatha kile niliesikia kapata mkopo ni wa idara ya afya tu kwangu mm sijui wengine sie sio wanafunzi na hatuna manufaa kwa mainjinia wenzangu
 
number tunaisoma .... na tutaikoma
 

Mkuu nimechagua coz ya eng lakini pia nimekosa ada sina ya kulipia mwisho wa reg ni 15 mwez huu kuhang-ka kote naishia hapa daa
 
Ushauri wangu kama una ada ya kuanzia nenda kaanze tuu....mkopo unaweza ukatoka but sio leo wala kesho...bado nchi haijatulia hii kiutendaji

Je kama ukiwa hauna ada inamaana ndooo imekula kwako
 
Kalaghabaoooo.. ndobasi tenaa, non priority!!!
Nakushauri ufanye harambee tu kwa wanafamilia kama wazazi hawanauwezo au ujitumbukize kwenye mchuano mwakani tena kwakozi za priority
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…