You guys....be honest...ukiwa high School ulisha fanya hivyo.?!!

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
15822823_170091433469304_363620604151189159_n.jpg
 
Nini lengo la hii mada? Unaongoza au unapotosha?

Mods futa huu upuuzi please,mleta mada ungekua wewe ni mzazi wala usingeweka hii post ambayo kwa njia moja ama nyingine huenda ikawa na ushawishi fulani kwa vijana wetu.
 
Bila shaka una Binti yupo High school wewe........subiri wakusaidie kumrekebisha.
 
hizi ni high school za dar tu maana waliopita huku hawajui hayo mambo

1.mzumbe
2.ilboru
3.tabora boys
4.kibaha
5.tosamaganga
6.kilakala
7.iringa girls
8.ifunda girls
9.tabora girls
10.songea girls & boys
Umesahau Shy-bush (shinyanga technical school)
 
hizi ni high school za dar tu maana waliopita huku hawajui hayo mambo

1.mzumbe
2.ilboru
3.tabora boys
4.kibaha
5.tosamaganga
6.kilakala
7.iringa girls
8.ifunda girls
9.tabora girls
10.songea girls & boys
Sasa umeshasema shule ni boys/girls utafanya na nani hayo au na wewe wakala wa Cameroon?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom