Sikuamini nilipokuoneni jana dinner Sea Cliff Arabela sharifaa amu Paloma marejesho Maeskron na Lily Flower nawashukuruni sana kwa kuitikia invitation yangu ya dinner pamoja na mambo mengine tuliyoshiriki pamoja kwenye presidential suite jana.It was a pleasure. Girls,you are so beautiful!
Copy 😡filipo Erickb52 Arushaone Mungi Baba V zubedayo_mchuzi watu8 manoah.
Hi my brother Chimbuvu , charminglady hana mtu yani yupo single
Unaposema charminglady yuko single unamaanisha nini..!? C6 unadhani ni.nani kwake
Unaposema charminglady yuko single unamaanisha nini..!? C6 unadhani ni.nani kwake
kasome thread ya charminglady aliyoifungua a few minutes a go,tena kaikopi kwako,angalia in box yako,C6 kapigwa chini,hata Madame B kampiga kibuti Chimbuvu, mpaka mwaka uishe sijui itakuwajeUnaposema charminglady yuko single unamaanisha nini..!? C6 unadhani ni.nani kwake
mke wangu The secretary kaenda canada kujifungua.Bishanga habari za kwako. Umenikumbusha mbali, nimekumbuka ka wimbo kamoja ivi . Hata mie nilikua na The secretary
Gud morning wote woote
kasome thread ya charminglady aliyoifungua a few minutes a go,tena kaikopi kwako,angalia in box yako,C6 kapigwa chini,hata Madame B kampiga kibuti Chimbuvu, mpaka mwaka uishe sijui itakuwaje
mke wangu The secretary kaenda canada kujifungua.
thank God at last Madame B kakupiga kibuti,ngoja ndugu yangu Ruttashobolwa apumue
Sikuamini nilipokuoneni nanyi jana dinner Sea Cliff Arabela sharifaa amu Paloma marejesho Maeskron na Lily Flower nawashukuruni sana kwa kuitikia invitation yangu ya dinner pamoja na mambo mengine tuliyoshiriki pamoja kwenye presidential suite jana.It was a pleasure. Girls,you are so beautiful!
Copy Filipo Erickb52 Arushaone Mungi Baba V zubedayo_mchuzi watu8 manoah.
ila umesemaje kwenye ile thread ya charminglady? We mwanamke wewe!Sijasema kama nimempiga kibuti wewe!
Mwanaume loh!!