Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
- Thread starter
- #21
Wow!
Naona siku hizi watu wameacha kuhisi mimi ndo Dadii š¤£š¤£
āWajuajiā wa JF bana [emoji1][emoji1][emoji1]
Hujambo lakini we bibie?
Hahahahhaaaa ndo unawaamsha sasa warudi kuhisi kuwa wewe ndo Dadii.... Hadi wakawa wanakuonea wivu kwa mahaba nnayoweka humu.....
Halafu kuna ID ilikuja kabisaa kama Dadii kipindi uko resti ini pisi (heheheh)
Mie sijambo kabisa babujii Jabuu nimekumisimoo hadi nasikia kiwi ya maji ya nazi..... Hiviii, dafu kwa kiingereza linaitwajee hahahahaha
Is it a sin if I hug you.... What if I kiss you..... Mmuah ooh let me munch you ..... Aaannggghmmm uuhhh taamuuu hahahhahahahaaaa
Msalimie Dadii wangu ukimuona....