Yote haya kisa dini tofauti


ahsante sana kwa ushaur wako. Mungu akubariki
 
wewe kijana just respect her religion and her stand.
vijana wengi sana wanalidharau hili lakini inabidi kuwa makini nalo
 
Msikilize matola ushauri mzuri ametoa!
 

Badili dini fata ya huyo msichana kama unampenda
 
Kwa ushauri tu mdogo wangu kazana kusoma kama bado uko shule, kama uko kitaa jipange fresh. Bado kijana mdogo sana.
 
Mjinga ni yule anayefkiri dini zingine hazifai
Ujinga huu, dini inabadilishwa pale mtu anapokubali kwa hiyari yake mafundisho ya dini husika na anaingia kwenye dini ile kwa sababu amevutiwa nayo na si kwa kufuata mbunye. huu ni ujinga uliopitiliza. sasa mwanamke akifa? unabaki na ile dini au unafanyaje? ujinga mtupu.
 
Ujinga huu.

kaka you are right, kuna watu wanaleta sababu za kubaguana kidini huku wao wanashauri ubadili dini. Mi nikimtamani demu namwambia kama dini tofauti ajue kabisa tunapeana mbunye kila mtu anasepa. Asifikirie mi kubadili au kumshawishi yeye abadili dini. Tukiachana! Nani alaumiwe! Kama ni wale wenye mawazo ya kuolewa namwambia pita pembeni.
 
Mambo ya Religion yanaudhi kwa kweli.. yaani watanzania waafrika weusi tangu zamani... mnaendekeza dini ziwatenge?? hebu chekini MAREKANI dini kuu ni mmoja UKRISTO check UAE dini kuu ni ISLAM... japo kuna wachache amabo ni dini tofauti.. wameendelea kweli... ila wakajua kwamba sie waafrika ni wajinga wakaamua kututenga kwa dini....na tunatukuza sana dini kuliko utu... na tunaelekea pabaya.... na hiki kinatupeleka pabaya sana nchi zetu...hata kama tuna rasilimali nyingi...tutaendelea kuwa masikini na kuchukiana bure ndugu... jamani WATANZANIA msifanye dini zetu zitutenge...I like the friendship i have with my dia bro from another mother niliekutana nae pale KIBAHA SEC. yeye dini tofaut nami ila tumekuwa marafiki wakubwa hadi kushirikiana mambo makubwa sana....nashukuru nae hana mitazamo ya kijinga ya udini kama mie nilivyo...WITO: TUBADILIKE TUJENGE NCHI YETU NA MAHUSIANO YETU..ahsante
 
Mjinga ni yule anayefkiri dini zingine hazifai
MJINGA ni yule anae endekeza UDINI wa aina yoyote... sote humu tz ni ndugu origin moja achaneni kubaguana...na kama kunadini inayoshauri kubaguana basi sio ya MUNGU...NI SHETANI.. maana mungu anatueleza upendo na kubaguana sio upendo kamwe....
 
MJINGA ni yule anae endekeza UDINI wa aina yoyote... sote humu tz ni ndugu origin moja achaneni kubaguana...na kama kunadini inayoshauri kubaguana basi sio ya MUNGU...NI SHETANI.. maana mungu anatueleza upendo na kubaguana sio upendo kamwe....
Pole sana kama mpaka leo hujui kwamba kuna dini inayobaguwa na kuwaita majina ya ajabu watu wasikuwa wa dini hiyo na ni marufuku mtu asiye wa dini hiyo kwenda kuoa huko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…